Mercy Masika – Mwema (Mp3 Download + Lyrics) 2023

Mercy Masika Mwema Mp3 Download

Mercy Masika, mercy masika songs audio download, mercy masika mwema, mercy masika mwema lyrics, youtube mercy masika mwema, mercy masika song mwema mp3, And I shall not stop myself from proclaiming your goodness, It is not that I boast for myself, you have been good to me! –  Mercy Masika.

DOWNLOAD Mercy Masika – Mwema

 

Mercy Masika – Mwema Lyrics

Ohh wooih mmh
Wako mwana ukamtuma, duniani,
Kisa na maana, nipate uzima, jamani
Wako mwana ukamtuma, duniani,
Kisa na maana, nipate uzima, jamani
Ishaara kwamba unanipenda zaidi,
Hivo nishaelewa, sifa nitakupa zaidi,
Ishaara kwamba unanipenda zaidi,
Hivo nishaelewa, sifa nitakupa zaidi,
Na siwezi jizuia, kusema wako wema,
Sio kama najigamba, umenitenda mema,
Na siwezi jizuia, kusema wako wema,
Sio kama najigamba, umenitenda mema,
Umekuwa mwema kwangu,
Umenitoa gizani, nilipokuwa nimeshikwa mateka,
Ukanipa tumaini, kwako nikajificha,
Sasa nitakupa nini, iwe sawa na yale umetenda,
Hakuna ila moyoni, sifa nitakuimbia,
Ilikugharimu, msalabani unifie,
Hivo inanibidi, sifa nikuimbie,
Wema wako niseme, ili na wengine wakujue,
Wote waungane nami, na wazee ishirini na nne,
Na siwezi jizuia, kusema wako wema,
Sio kama najigamba, umenitenda mema,
Na siwezi jizuia, kusema wako wema,
Sio kama najigamba, umenitenda mema,
Umekuwa mwema kwangu,
Acha niringe, umekuwa mwema kwangu,
Oh Yahweh, ooh kwangu,
Oh umenitendea, kwangu,
Acha niimbe siwezi jizuia, kusema wako wema,
Sio kama najigamba, umenitenda mema,
Na siwezi jizuia, kusema wako wema,
Sio kama najigamba, umenitenda mema,
Na siwezi jizuia, kusema wako wema,
Sio kama najigamba, umenitenda mema,
Na siwezi jizuia, kusema wako wema,
Sio kama najigamba, umenitenda mema,
Siwezi jizuia

Download Now

[AudioMack] Download Latest DJ Mix On Audiomack

🔥Join Myfun Ent on Telegram🔥

🔥 Download Old Records Traditional Songs 🔥

Leave a Comment